vault

vault

1 vt,vi ruka; ruka juu (kwa kujitegemeza au kwa msaada wa upondo). ~ing-horse n zana ya mazoezi ya kuruka n mruko. vaulter n mrukaji (wa upondo).

vault

2 n 1 kuba. 2 chumba cha chini kwa chini, ghala ya chini. 3 mfuniko wa kikuba the ~ of heaven (poet) anga. vaulted adj -enye kuba.