vary

vt,vi geuza, badili, badilisha; geuka, -wa mbalimbali. varied adj 1 mbalimbali, tofauti, -a namna nyingi. 2 -enye mabadiliko mengi; -enye tofauti nyingi. various adj (usu attrib) mbalimbali, anuwai, -a tofauti tofauti, aina aina. variety n 1 tofauti. 2 (collection) jamii (ya vitu mbalimbali) a variety of reasons sababu mbalimbali. 3 (species) namna; (many kinds) namna nyingi. 4 maonyesho (ya aina mbalimbali k.v. sarakasi, nyimbo, igizo n.k.).