varnish

n 1 vanishi. 2 mng'ao; (fig) sura/taswira danganyifu. vt 1 paka vanishi. 2 pamba, puna; (fig) ficha kosa au dosari fulani. varnisher n mpaka vanishi.