n 1 thamani. ~ added taxn (abbrVAT) kodi ya nyongeza ya thamani ; thamani ya set a ~ on thamini. 2 faida, manufaa this is of great ~ hii ina manufaa makubwa. 3 (in painting) uhusiano wa mwanga na kivuli; (in language) maana; athari; (pl) maadili. artistic values viwango vya sanaa. vt 1 thamini/ tia thamani, kadiria. valuedadj -liothaminiwa; -a thamani a ~d friend rafiki halisi. valuelessadj hafifu, -siofaa, bure, -sio na thamani. valuern mthamini. valuableadj -a thamani; -a tunu. (pl)valuablesn vitu vya thamani (k.m. vito n.k.). valuationn kukadiria; ukadiriaji draw up a valuation of something kadiria thamani ya kitu. valuatorn mkadiria thamani.