vagabond

n msikwao; mzururaji, mhuni adj -sio na kwao; zururaji. vagabondage n uhuni; usokwao, uzururaji. vagabondism n uhuni, hali ya mtu kutokuwa na kwao.