vacuum

n ombwe, tupu. ~ cleaner n kivuta vumbi. ~ flask/bottle n themosi, chupa ya chai. ~ pump n kivuta hewa; kivuta maji. ~ tube/valve n neli/vali ombwe (ya kuchunguza mkondo wa umeme).