vacant

adj 1 -tupu ~ space nafasi tupu, pasipo kitu/mtu. 2 wazi. a ~ possession n tangazo la kuwa nyumba wazi (isiyo na mpangaji). 3 (of time) -a kupumzika. 4 (of mind) -sio na wazo; (of the eyes) -sio na (dalili za) shauku/wazo.vacantly adv. vacancy n 1 kuwa -tupu; uwazi; pasipo kazi. 2 kutotumika. 3 ujinga, ukosefu wa mawazo. 4 (post unfilled) nafasi wazi. vacate vt 1 hama, ondoka. 2 acha wazi, achilia mbali. 3 (formal) samehe. vacation n 1 (formal) kuacha, kuhama, kuondoka. 2 likizo, livu, muda wa kupumzika court vacation likizo ya mahakama. on vacation likizoni. vi vacation at/in (US) enda likizo. vacationist n (US) mtu aliye likizoni.