utility

n 1 manufaa, matumizi. 2 (public) huduma za umma (k.v. umeme, usafiri n.k.). utilize vt tumia. utilization n kutumia; matumizi. utilizeable adj -a kuweza kutumika. utilitarian adj -a kutafuta faida, -a kufaa, -a kuzingatia matumizi/manufaa tu (badala ya uzuri, haki, uadilifu n.k.). utilitarianism n falsafa kwamba njia bora katika maisha ni kutafuta kuridhisha watu wengi iwezekanavyo na kupima vitendo vya watu kwa kigezo hicho; -enye mawazo ya kuleta faida.