use

n 1 matumizi; kutumia. in ~ -nayotumika. out of ~ -siotumika (tena). come in ~ anza kutumika. go/fall out of ~ totumika tena. make (good/the best) ~ of tumia (vizuri). 2 kazi. 3 faida. 4 uwezo (wa kutumia). 5 ruhusa (ya kutumia). 6 mazoea. vt 1 ~ (for) tumia you ~ a knife to cut meat unatumia kisu kukata nyama. 2 ~ something (up) tumia yote he has ~d up all his strength ametumia nguvu zake zote. 3 tumia (watu), tendea, fanyia used adj. -liotumika, -sio mpya ~d car gari lili-lotumika.usable adj -a (kuweza) kutumika. user n mtumiaji. useful adj 1 -a manufaa, -a matokeo mazuri. 2 (colloq) -enye uwezo, -a ufanisi. usefully adv. usefulness n. useless adj 1 bure, -siofaa. 2 -sio na maana, -siosaidia/sio na manufaa. uselessly adv. uselessness n. usage n 1 matumizi. 2 desturi, mazoea.