urn

n 1 chombo kirefu cha udongo au madini (hasa cha kutilia majivu ya maiti aliyechomwa). 2 buli.