n mkojo. urinal n 1 (bed urinal) chombo cha kukojolea kitandani. 2 (public urinal) msala, sehemu ya kutabawali. urinary adj -a mkojo. the urinary system n mfumo wa mkojo. urinate vi kojoa, tabawali. uric adj -a mkojo.