upright

adj 1 -a wima, -a kiwimawima. ~ piano n piano yenye nyuzi za wima. 2 (honest) aminifu, -adilifu; -a kuheshimika, -enye heshima. n mhimili, mwimo, nguzo. uprightly adv. uprightness n 1 unyofu, uaminifu. 2 wima.