upholster

vt (of a room) weka zulia/pazia na kochi; (a chair) tia matakia, funika kwa nguo/ngozi. upholsterer n mwuza mapambo ya samani/ chumba. upholstery n vifaa vya kutengeneza makochi/matakia; biashara ya kutengeneza makochi/ matakia.