upheaval

n mageuzi, mabadiliko (makubwa ya ghafla) the country was in a state of ~ nchi ilikuwa katika hali ya mageuzi makubwa.