unwritten

adj -sioandikwa, -a kufahamika kwa akili tu, -a mapokezi, simulizi, -a desturi. an ~ law sheria ya mila na desturi (isiyo andikwa).