unskilled

adj (of work) si stadi, -sio ujuzi/utaalamu. ~ labour n kazi isiyo na ujuzi/utaalamu, kazi ya kibarua. unskilful adj si -bingwa, si -stadi, -siojua kazi. unskilfulness n.