universal
adj -a ote; -a watu wote; -a kuenea pote; -a wakati wote; -a mahali pote; -a kazi zote. a universal joint n kiungo kinachoruhusu matumizi ya pande zote. a universal rule n kanuni, faradhi. universal suffrage n kura kwa wote. universalism n falsafa ya kilimwengu; malimwengu. universality n. universally adv kilimwengu. universalize vt fanya kilimwengu. universe n 1 the Universal n Ulimwengu, vitu vyote. 2 mifumo ya sayari.