unit

n 1 kitu kimoja, jamii ya vitu/watu; kitengo. 2 kizio ~ square kizio mraba. 3 namba nzima ndogo kuliko zote; namba 1 (moja). 4 (compounds) kitchen ~ n vifaa vya jikoni. ~ furniture n seti ya samani. ~ trust n amana ya kikundi. unitary n,adj -a moja.