union

n 1 muungano, umoja. 2 (colloq) mapatano, maafikiano a happy ~ ndoa yenye furaha. 3 (society) jamii, chama. U~ Jack n bendera ya Waingereza ~ of sets mwungano wa seti. 4 (tech) kiungo. unionism n falsafa ya umoja. 5 unionist n mwanachama wa chama cha wafanyakazi; mtetezi wa vyama vya wafanyakazi. Unionist n (GB Politics) mpinzani wa kujitenga kwa Ireland; (US) mtetezi wa serikali ya muungano.