uniform

adj -a mfano mmoja, sawasawa, -a kulingana; sare make ~ fanya sare/ sawa, sawazisha. n yunifomu/ sare. in ~ -liovaa yunifomu/sare. uniformed adj liovaa sare. uniformly adv. uniformity n kuwa sawa; umoja; ulinganifu.