unemployed

adj -sio na kazi, -sioajiriwa n the ~ watu wasio na kazi. unemployable adj -sioajirika n (person) -siofaa (kwa kazi). unemployment n 1 kutokuwa na kazi. 2 nguvu ya kazi inayopotea bure. 3 (attrib) unemployment insurance/benefit/pay ruzuku kwa wasio na kazi.