undulate

vi piga mapinde; inuka na kushuka. undulant adj. undulation n 1 mapinde, mwendo wa wimbi, kuinuka na kushuka kama mawimbi, vilima na mabonde. 2 (rising ground) kiduta, mwinuko. undulatory adj 1 -a kuinuka na kushuka; -a mapinde/mawimbi, -enye vilima na mabonde. 2 -a mwendo wa wimbi.