underworld

n 1 (in GK myths) jahanamu. 2 jamii ya wahalifu/watu waovu (wevi n.k.) wa mji. underwrite vt kubali jukumu, chukulia bima; dhamini; chukua jukumu la kununua hisa zote za kampuni zilizobaki, (hasa kwa meli ya shehena). ~r n mdhamini; mwenye kukubali jukumu (hasa la meli ya shehena).