understate

vt shindwa kueleza kikamilifu, toa maelezo pungufu; rahisi; jizuia katika kusema. understatement n kutoeleza kikamilifu; urahisishaji; maelezo pungufu; kutosema ukweli wote.