understand

vt,vi 1 fahamu, elewa; sikia; maizi. make oneself understood jieleza wazi wazi. (now) ~ me tuelewane, nielewe. ~one another (of two person, parties) elewana; elewa hisia, mawazo, makusudi ya mwingine. 2 fahamu (tokana na taarifa iliyopatikana); jua; (ji)chukulia. give somebody to ~ (that....) fanya mtu afahamu (kwamba), pa picha. 3 fahamu akilini. understandable adj inayoeleweka.understandably adv. understanding adj -enye kuelewa hisia za wengine. n 1 uwezo safi wa akili, uwezo wa kuwaza vizuri, ufahamu. 2 huruma, kiwango cha kufahamu hisia za wengine. 3 (often an understanding, but rarely pl) mapatano, maafikiano, makubaliano. on this ~ing katika hali hii. on the ~ing that.... kwa masharti kuwa....understandingly adv kwa kujua, kwa kuelewa, kwa kufahamu.