uncrown

vt ondoa kwenye ufalme. uncrowned adj 1 -siotiwa taji bado, siotawazwa. 2 -enye uwezo pasipo cheo cha ufalme. 3 the ~ed king/ queen mtu maarufu zaidi katika uwanja wake.