unconscious

adj bila kufahamu, bila kujijua; -sio na fahamu, liozimia/liopoteza fahamu. the ~ n (psych) sehemu ya ubongo isiyofikika (kiakili). unconsciousness n. unconsciously adv bila kufahamu, bila kujua.