unconditional

adj -enye kutokuwa na/sio na masharti ~ apology radhi bila sharti. unconditionally adv. unconditioned adj 1 -sio (wekewa) masharti. 2 huru, -siotawaliwa unconditioned reflex mshtuko huru.