unconcern

n kutojali; kutokuwa na haya/hamu. unconcerned adj siojali. ~ed in something siohusika na. ~ed with something/somebody -sio na uhusiano na, -siojali, sio na mawazo. ~ edly adv. kuwa pekee, kwa kutohusika.