unaware
adj (pref) ~ of something/ that -tofahamu, -tojua, -totambua he was ~ of my presence hakufahamu kuwa nipo. ~ ness n hali ya kutofahamu. unawares adv 1 ghafula, bila kutazamiwa. take somebody ~s stusha mtu. 2 bila kutambua. he dropped the money ~s aliangusha fedha bila kutambua.