unanimous

adj -a kauli moja, -a pamoja, -siopingwa the committee expressed the ~ opinion that kamati ilikubaliana kwa kauli moja kwamba. unanimity n umoja with unanimity kwa umoja. unanimously adv kwa kauli moja.