ubiquitous

adj (formal) -a kuwapo kotekote (kwa wakati mmoja); -a kuenea kila mahali. they are ~ wapo kila mahali. ubiquity n kuwapo mahali pote (mahali pengi sana); kuenea pote.