tyranny

n 1 uonevu, udhalimu. 2 (despotism) udikteta, utawala wa mtu mmoja peke yake; utawala wa mabavu. tyrannical adj dhalimu, -a kikatili, -a kidikteta. tyrannize vi ~ (over) onea, dhulumu, tawala kwa mabavu, kandamiza. tyrannous adj onevu.