typical

adj ~ (of) -a mfano mmoja, -a mfano hasa, -a kufanana sana na asili; -a namna ile ile; -a kuwakilisha (aina/tabia,n.k.). typically adv kwa kufanana hasa.