type
n 1 (printing) herufi (za kupigia chapa. 2 (of a person, thing, event, etc) kielezo, mfano, kifani. 3 (genus/specie) aina, jinsi, jamii men of his ~ watu wa aina yake. true to ~ mwakilishi wa jamii yake. typology n taipolojia; uainishi. 4 (compounds) ~ face n aina ya chapa. typescript n kazi iliyopigwa chapa tayari kwa kuchapishwa. ~ setter n mtayarishaji/mpangaji wa chapa. typewriter mashine ya chapa. ~ written adj iliyopigwa chapa. vt,vi 1 piga taipu. 2 panga katika aina, jinsi, jamii. typist n mpiga taipu. typify vt -wa mfano wa, wakilisha kundi/jamii fulani. typography n taipografia: sanaa/taaluma ya kupiga chapa. faults of typography makosa ya kuchapa. typographer n. mchapaji. typographic adj. typographically adv.