two
n,adj mbili, -wili, pili. break/cut something in ~ vunja/kata kitu katika sehemu mbili. put ~ and ~ together fahamu kitu kutokana na mtu anavyoona, sikia, jifunza, n.k. by ~s and threes wawili wawili au watatu watatu kwa mpigo. T~ can play (at) that game tutaonana, wee ngoja tu! utaona! (compound) two-edged adj (of a sword, etc) enye makali kuwili; (fig) (of an argument, etc) -enye maana mbili kinzani. two-faced adj (fig) nafiki, danganyifu. two-fold adj,adv -a mara mbili; mara dufu, mara mbili. two-handed adj (of a sword) -a mikono miwili; (of a saw) -a (kushikwa na) watu wawili. ~ penny piece n sarafu ya peni mbili. ~ penny-half penny adj -a peni mbili na nusu; (colloq) bure ghali, -sio na thamani. ~-a- penny adj iliyo rahisi kupatikana, rahisi, -sio na thamani. ~ piece n seti ya vazi la aina moja k.m. suruali na koti lake, sketi na kikoti chake, n.k. two-ply adj ncha mbili/unene wa aina mbili tofauti, - a tabaka mbili za unene. two-seater n gari/ndege, n.k. yenye viti viwili tu. two-sided adj -a njia mbili, -a pande mbili. twosome n mchezo wa watu wawili tu. ~ stroke adj (of an engine) -enye mapigo mawili, -a pistoni mbili. two-timing adj laghai, danganyifu. two-tongued kigeugeu. two-way attrib adj (of a switch) -enye pande mbili za kuwasha na kuzima; (of a road) njia yenye panda mbili, -a njia mbili; (of a radio) inayopokea na kupeleka habari.