twitch

n 1 mshtuko (aghalabu wa musuli); mtetemo wa uso. 2 kuvutwa (kwa ghafula); mpokonyo (wa ghafula). vt,vi 1 shtuka; shtusha the dog ~ed its nose mbwa alishtusha/ tikisa pua yake. 2 vuta/nyakua/ pokonya ghafla.