twelve

n, adj kumi na mbili, thenashara. The T~ mitume thenashara wa Yesu Kristo. ~ month n (archaic) mwaka. twelfth adj -a kumi na mbili. n kumi na mbili, sehemu ya kumi na mbili. twelfth man n (in cricket) mchezaji wa akiba. Twelfth night n mkesha wa Epifania.