twang

n 1 mlio wa uzi wa zeze au upinde, n.k. ukipigwa. 2 (nasal) king'ong'o. vt,vi liza zeze/upinde, n.k. kwa kukwanyua, kuvuta nyuzi zake.