turkey

n 1 batamzinga. 2 (US sl) ushinde. cold ~ n uachaji ghafla wa kula dawa za kulevya; zimbaa; kauli thabiti. talk ~ (US sl) sema wazi bila kuficha.