turf

n 1 majani mororo na udongo wake. the ~ n uwanja wa mashindano/mbio za farasi; weledi/shughuli za mashindano ya farasi. be on the ~ jishughulisha na mambo ya mashindano ya farasi. ~ accountant; ~ commission agent n see book maker. 2 pande la majani na udongo wake lililokatwa. vt 1 funika ardhi na pande la majani lenye udongo wake. 2 ~ out (GB sl) tupa nje, fukuza.