tune
n 1 tuni, lahani. 2 mafuatano ya sauti, mlingano, ulinganifu wa sauti, utaratibu. 3 in/out of ~ fuata/-tofuata mahadhi. 4 (fig) wiano, uelewano. 5 (fig uses) change one's~; sing another ~ badili mwenendo/tabia/msimamo. to the ~ of (colloq) kiasi cha. vt,vi 1 rekebisha sauti/lahani. ~ up anza kurekebisha sauti, lahani. tuning fork n uma ya tuni. 2 ~ in (to) rekebisha ili kupokea sauti za angani; sikiliza; (fig) elewa/fahamu mambo yasemwayo na watu wengine. 3 rekebisha/tuni injini (ya gari, pikipiki, n.k.). tuner n mrekebishaji sauti/injini; kipokea ishara, mawimbi (katika redio). tuneful adj tunefulness n.