tumbler

n 1 (glass) bilauri. 2 (small moving part) ulimi/kipande (ndani ya kufuli au kitasa). 3 (acrobat) mwana sarakasi. 4 njiwa ajipinduaye wakati wa kuruka. tumblerful n bilauri tele.