tumble

vi,vt 1 anguka ghafla na kwa vurumai, poromoka. 2 gaagaa, enda juu na chini, huku na huko bila kutulia. 3 dhoofu, konga, chakaa. ~ down (attrib) adj -liochakaa, bovu. 4 ~ to something (colloq) gundua, tambua, ng'amua (kitu). 5 chafua, fuja, vuruga. 6 angusha; mwaga; pindua. n 1 mwanguko, anguko. a nasty ~ n anguko baya. 2 vurugu. ~ weed n (US) jani liotalo jangwani.