trunk

n 1 shina. 2 pingiti, kiwiliwili (bila kichwa, miguu wala mikono). 3 (of elephant) mkono, mkonga, mwiro. 4 sanduku, kasha. 5 (pl) kaptura. 6 (US) buti la gari. 7 (attrib) ~ call n simu ya mbali. ~ line n reli kuu; njia ya simu ya mbali. ~- road n barabara kuu.