troupe

n kundi (la wachezaji, waimbaji, n.k.). trouper n mwanachama wa kundi la waigizaji he is a good ~r mchapa kazi bora.