trough

n 1 kihori. 2 chombo cha kukandia mikate. 3 bonde kati ya mawimbi baharini. 4 ukanda wa hewa nyepesi kati ya kanda mbili za hewa nzito.