trouble
vt,vi 1 taabisha, chokoza, sumbua. 2 ~ somebody to do something; ~ somebody for something sumbua mtu may I ~ you for a cigarette naomba sigara. 3 jisumbua. 4 tia wasiwasi, hangaisha. fish in ~d water jaribu kunufaika kutokana na vurugu. n 1 hofu, fadhaa; taabu, shida. in ~ matatani; mashakani; -enye mateso. ask/look for ~ (colloq) jitakia taabu/adha. get into ~ jitia katika matatizo. get somebody into ~ kalifisha; (sl) tia mimba (msichana asiyeolewa). 2 (sing only) msumbufu; usumbufu, taklifu, shida. 3 fujo/machafuko/ vurugu (la kijamii au kisiasa). 4 ugonjwa; tatizo (la afya). 5 (compounds) troublemaker n mchochezi; mkorofi. troubleshooter n msuluhishi. troublesome adj -a udhia, sumbufu, -a taabu, -chokozi. ~spot n mahali pa fujo/machafuko (ya kisiasa au kijamii). troublous adj (lit) -a shida, -liochafuliwa.