troop

n 1 kundi, jeshi. 2 (pl) wanajeshi, askari, kikosi cha wanajeshi. ~ carrier n meli/ndege/gari la kubebea wanajeshi. ~ ship n meli ya kubebea wanajeshi. 3 kikosi cha askari wa mizinga, vifaru au farasi. 4 kombania ya maskauti wa kiume. vt,vi 1 enda katika kundi. 2 ~ the colours (GB mil) onyesha/tembeza bendera katika kikosi. ~ing the colour sherehe ya kuonyesha bendera za kikosi. trooper n 1 askari wa farasi au vifaru. 2 (US) askari polisi wa jimbo. swear like a ~er tukana sana, toa matusi sana.