trolley/trolly

n 1 toroli. 2 kiberenge. 3 ~ bus; (US) ~ car n tramu. 4 meza ndogo ya magurudumu (ya kuandikia chakula). 5 kigurudumu (kinachogusisha tramu na waya wa umeme wa juu).